Bye JF

Bye JF

To cut the long story short akili yangu inaniambia rudi kucheza mzawa kwa huku kijijini nilipo.

Na uchazaji wangu wa uzawa unanibadili fikra na personality kabisa.

Mengine mtanisikia, baada ya kujutafakari nimekubali mipango yangu hipo huku kijijini.

Tanzania willl forever be in my heart.

Take it or leave it this my last JF post,

It’s been a ride wishing all members best of lack

Niilikuwepi

Proffesor Kibassa

🙏🙏🙏

PS do not imitate me mods

It has been a wonderful ride, but it has to end.
Safi kabisa,ila kijijini si mtandao upon mkuu!, Endelea kutoka mchango wako.
 
To cut the long story short akili yangu inaniambia rudi kucheza mzawa kwa huku kijijini nilipo.

Na uchazaji wangu wa uzawa unanibadili fikra na personality kabisa.

Mengine mtanisikia, baada ya kujutafakari nimekubali mipango yangu hipo huku kijijini.

Tanzania willl forever be in my heart.

Take it or leave it this my last JF post,

It’s been a ride wishing all members best of lack

Niilikuwepi

Proffesor Kibassa

🙏🙏🙏

PS do not imitate me mods

It has been a wonderful ride, but it has to end.
Mi naomba uniachie hiyo ID yako mkuu,..nimempenda huyo 'the Simpson' kwa avatar yako☺️☺️
 
JF ni addiction

Binafsi nipo happy kutoka.

Nawasii kuacha kuchangia kwenye hii mada niende zangu.

Jamii Forums ni great

Members wake ni great

Nita miss JF

Hila sijawahi kuwa na uhakika katika maisha yangu japo kwa uchungu mkubwa kwamba hii thread ikipotoea na mimi napotea.

Moja ya just udhaifu wangu wa JF ni kudharau quote ya post yangu; au watu wanaojibu thread yangu (its a psychological issue).

So katika withdraw challenges za JF, tafadhali someni tu comments thus far au mod wazuie comments kwenye hii mada.

Honestly I am happy and very excited with my next chapter na maisha ya kijijini without JF and very sure it’s time to go.

Just don’t add comments kwenye hii thread kuto post au kuonyesha nimeona post ya mtu alietumia muda wake kusema chochote kwenye hii mada; I feel like offended the person.

I am happy to go for personal reasons and very sure about this.
 
Back
Top Bottom