Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,890
- 8,647
Mbona unaandika kwa hisia kali.
bakia hapa hapa..
Yajayo yanafurahisha
bakia hapa hapa..
Yajayo yanafurahisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji173][emoji1545][emoji173][emoji173]Asante kaka, mungu aendelee kukubariki
na uungwana wako, kipawa chako cha kukubarika na pist zako hata kama sio wote wachangiaji.
I love food so japo sijawahi kuchangia kwenye jukwaa la chakula, ilikuwa aipiti siku mbili bila ya kuchungulia watu wame post nini kule.
Ubarikiwe sana kaka
Can’t see the emoji but whatever comes from you is always appreciated.
Now I can see the sign asante kaka
JF imeacha milango wazi, ukirudi ruksa kuingia.To cut the long story short akili yangu inaniambia rudi kucheza mzawa kwa huku kijijini nilipo.
Na uchazaji wangu wa uzawa unanibadili fikra na personality kabisa.
Mengine mtanisikia, baada ya kujutafakari nimekubali mipango yangu hipo huku kijijini.
Tanzania willl forever be in my heart.
Take it or leave it this my last JF post,
It’s been a ride wishing all members best of lack
Niilikuwepi
Proffesor Kibassa
🙏🙏🙏
PS do not imitate me mods
It has been a wonderful ride, but it has to end.
Too early to give up....Niamini nikilala nikiamka sitskuwa tena.
Naomba tu mods waache imitation, hayo mambo yana madhara kwa watu wasio yajua.
Asante kitakacho nirudisha ni heshima tu kwa wachangiaji wa mada hii as long watu watachangia.JF imeacha milango wazi, ukirudi ruksa kuingia.
Responbility calls na kuelewa in the world where we have limited time nguvu zako uzielekeze wapi.Too early to give up....
I always believe life always give a 'second' choice/way/chance.
Endelea kusalia jamvini kiongozi, hili jukwaa linaweza kuwa sehemu ya faraja kwako.Asante kitakacho nirudisha ni heshima tu wa wachangiaji mada hii as long watu watachangia.
Hii mada ikipotea na mimi napotea.
Ubarikiwe kiongozi
Sote njia yetu ni moja mkuu, either tuache kutumia jf kama wewe hivi au nature itulazimishe kuacha. Kila la heri..hata mimi ipo siku nitaiweka pembeni kwa mapenzi yangu.Tafakuri kuna maisha nje ya Jamii Forums na nadharia za watu kwa kukusoma JF.
Muda wa kuweka mambo sawa kwenye maisha sikuwa huko kwa karibu miaka 20 kuwaweka sawa wajinga wajinga.
Thanks mods, kwa kuileta post huku mnapodhani ni mahala sahihi.
Nisingependa kuona waliochangia waone nimewapuuza (it’s a psychological issue). Hope no one adds a comment as the message is clear and they allow this useless member leave in natural death manner.
PS do not imitate my ID’s just because you know how to do it, JF has done that several times in the past in my absence hadi kufungua ID walizozipa ban.
If so, you would have left in silence. To inform no one except those you're really committed with, through PM.Tafakuri kuna maisha nje ya Jamii Forums na nadharia za watu kwa kukusoma JF.
Muda wa kuweka mambo sawa kwenye maisha sikuwa huko kwa karibu miaka 20 kuwaweka sawa wajinga wajinga.
Thanks mods, kwa kuileta post huku mnapodhani ni mahala sahihi.
Nisingependa kuona waliochangia waone nimewapuuza (it’s a psychological issue). Hope no one adds a comment as the message is clear and they allow this useless member leave in natural death manner.
PS do not imitate my ID’s just because you know how to do it, JF has done that several times in the past in my absence hadi kufungua ID walizozipa ban.
Changamoto zipoEndelea kusalia jamvini kiongozi, hili jukwaa linaweza kuwa sehemu ya faraja kwako.
hata kama changamoto ngumu zinakusibu tambua ni za muda tu.
Nothing last permanently....
JF inasomwa na watu wengi sana.If so, you would have left in silence. To inform no one except those you're really committed with, through PM.
Kupost hapa, kunakulazimisha ama uende bila kujibu (of which you don't to care) ama uendelee kubaki.
Anyway, Good luck Mkuu.
Be back, share what you will have gone, ili wengine wajifunze..
Kutofanya hivyo, ni kuwa mchoyo.
If your no longer JF , I will send to some books uwe unaburudikaJF inasomwa na watu wengi sana.
Inategemea Unachangia nini kuona wazo lako linetumika wapi na watu wakubwa.
Asante sana hizo emojies ni za ku appreciate [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Can’t see the emoji but whatever comes from you is always appreciated.
Me too I am sort of mind reader kwako kaka to me, after many years of being in JF even if you try to be nasty it’s because of community influence.
Hila kaka Mshana Jr even if you try to be nasty wewe roho yako ni pure; mengine ni mkumbo kufuata tu wa forum.
We si ndo yule mtaalam wa mambo ya kodi?To cut the long story short akili yangu inaniambia rudi kucheza mzawa kwa huku kijijini nilipo.