Cabinet approves city status for 2 more towns

Cabinet approves city status for 2 more towns

hizo city zenu zenye poor infrastructure plus worse planning ndio mnaziita city?
City si big population.

Tuonyeshe hiyo Eldoret yenye proper planning na good infrastructure.. not bla bla, Kenya is only Nairobi but Tanzania is not only Dar
 
Tanzania iko na cities zingine isipokuwa Dar is slum???
 
Tanzania iko na cities zingine isipokuwa Dar is slum???

How ironic, it's so funny considering the fact that Nairobi has the biggest slum in the world.. Second to none, Dar is nowhere near that spot...hahaha Nyangau
 
Tanzania iko na cities zingine isipokuwa Dar is slum???
wherever damny!!!!

We have Zanzibar,Dar,Arusha, Mwanza, Tanga ,etc... just imagine if we had put all efforts on Dar just like the way you make Turakna, Lordwar people starve so as to build bypass in Nairobi smh !!!......

Dar would have been on Durban level
 
Masomo ni important sana dunia ya sasa.
FOOL
 
Tanzania has 14 cities If we follow Kenyan standards, poor Kenyans huwa wanakuja na mada zao za kinyangau Eldoret vs Mwanza ... These people arrogance is in their blood
Uwe makini kwa hili, ukubwa wa mji siyo maendeleo na ubora wa mji. Hata hapa tu tunaona jinsi kuna miji midogo kwa watu inavyoizidi miji mikubwa kwa ubora katika vitu vingi. Mfano mji wa Moshi una wakazi wachache kuliko Tabora, Kigoma, Songea, Mbeya, Kahama, Geita lakini uzuri wake mnaufahamu. Ama pamoja na jiji la Arusha kuwa dogo Mara mbili kwa Mwanza bado kuna vitu vingi vya kisasa linazidi jiji la Mwanza.
Ukiona mji wowote wa Kenya unalingana kwa watu na mji wetu, ujue wa kwetu umepitwa mbali sana kimaendeleo (ukitoa Arusha na Moshi). Fikiria mji wa Nakuru, tangu zamani ni mmojawapo wa miji the most romantic in East Africa, at par with Arusha.
Miji ya Kenya ni kama Ulaya ambako hawana miji mikubwa sana lakini ina maendeleo kuliko ile ya sehemu nyingine duniani. Ukienda Ulaya nzima, kuna majiji yasiyozidi matano (Paris, London, Frankfurt, Moscow) yenye skyscrapers ndefu nyingi lakini ukienda kwa ubora wa miji, Ujerumani pekee kuna majiji zaidi ya kumi - Berlin, Hamburg, Munchen, Frankfurt, Stuttgart, Cologne, Düsseldorf, Bremen, Hannover, Dresden na Leipzig yenye ubora kuliko Dar licha ya majiji hayo yote kuwa na watu wachache na maghorofa machache (ukitoa Frankfurt) kuliko Dar.
 
Total ndio ilitunya'nganya mafuta, si nyinyi. Na the reason had nothing to do with infrastructure, purely geographic and security reasons. Ninavyojua hata hamkua na infrastructure (pipeline), ndio itajengwa
 
Uwe makini kwa hili, ukubwa wa mji siyo maendeleo na ubora wa mji. Hata hapa tu tunaona jinsi kuna miji midogo kwa watu inavyoizidi miji ni kubwa kwa ubora katika vitu vingi. Mfano mji wa Moshi una wakazi wachache kuliko Tabora, Kigoma, Songea, Mbeya, Kahama, Geita lakini uzuri wake mnaufahamu. Ama pamoja na jiji la Arusha kuwa dogo Mara mbili kwa Mwanza bado kuna vitu vingi vya kisasa linazidi jiji la Mwanza.
Ukiona mji wowote wa Kenya unalingana kwa watu na mji wetu, ujue wa kwetu umepitwa mbali sana kimaendeleo (ukitoa Arusha na Moshi). Fikiria mji wa Nakuru, tangu zamani ni mmojawapo wa miji the most romantic in East African, at par with Arusha.
Miji ya Kenya ni kama Ulaya ambako hawana miji mikubwa sana lakini ina maendeleo kuliko ile ya sehemu nyingine duniani. Ukienda Ulaya nzima, kuna majiji yasiyozidi tano (Paris, London, Frankfurt, Moscow) yenye skyscrapers ndefu nyingi lakini ukienda kwa ubora wa miji, Ujerumani pekee kuna majiji zaidi ya kumi - Berlin, Hamburg, Munchen, Frankfurt, Stuttgart, Cologne, Düsseldorf, Bremen, Hannover, Dresden na Leipzig yenye ubora kuliko Dar licha ya majiji hayo yote kuwa na watu wachache kuliko Dar.
well said.
 
Kwaiyo unafananisha Ulaya na Kenya? Didn't get your point yet.
 
Tuonyeshe hiyo Eldoret yenye proper planning na good infrastructure.. not bla bla, Kenya is only Nairobi but Tanzania is not only Dar
naomba uweke hapa aerial viewmoja tu ya any of your 7 cities other than DAR.
Eldoret is the 5th largest.
Eldoret-city.jpg
DSC_0529.jpg
05aLgro.jpg
KVDA-Plaza.jpg
 
Yes kwa kigezo cha watu, Tanzania imezizidi nchi zote za Afrika Mashariki (Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi) ukiziunganisha pamoja. Sababu kubwa ni kwamba huku Tanzania watu wanakimbia umasikini mkubwa vijijini hata kama hawana uhakika wa kazi mijini lakini nchi majirani hawakimbilii hovyo mijini kutokana na kuwa na makazi na kilimo cha kudumu na hivyo kushindwa kuacha vitega uchumi vyao.
Sababu nyingine kubwa haswa ni gharama kubwa ya ardhi unayoweza kujenga nyumba za makazi. Miji mingi ya Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi, imejengwa kwenye maeneo yenye rutuba (ukiacha eneo la Kaskazini na Pwani ya Kenya), hivyo wengi ha wako tayari kuuza ardhi zao kwa urahisi kama maeneo yasiyo na rutuba. Ndiyo maana hata kwa Tanzania, miji muhimu na maarufu tangu zamani nchini ya Moshi, Bukoba, Tukuyu, Lushoto na Arusha imekuwa ikikua kwa mwendo wa kobe kutokana na watu kuuza ardhi zao kwa gharama kubwa. Arusha inakua tu hivyo hivyo kama Nairobi kutokana na uwekezaji mkubwa wa kitaasisi ndiyo maana bei za viwanda za miji hiyo ni kubwa usipime.
Kenya na Uganda ziko more populated kwa kufuata uwiano wa watu na ardhi yao kwahiyo zinatakiwa kuwa na cities nyingi pia. Kenya population yake ya watu milioni 40 kwenye ardhi yake ni sawa na Tanzania kuwa na watu milioni 85 kwenye ardhi yetu kufeel the same pressure yao kwa sasa. Eldoret na Nakuru ni miji imejengwa vizuri na population kubwa zaidi ya hiyo 250,000 nashangaa kwanini hazikuwa cities mpaka sasa iwapo kiwango ni kile labda walisubiria miundombinu pia sio population pekee. Eldoret na Nakuru ziko njema kuliko Mbeya by far wakati Mbeya ni city kwa Tanzania. Nafikiri kila nchi ina standard zake zaidi
 
Back
Top Bottom