Charminita
New Member
- Aug 2, 2022
- 4
- 1
Mkoani mbeya ( kyela na rungwe) utapata za kutosha mkuuWana JF habarini za mda huu?
Nimepitia uzi nyingi kuhusu kakao au kokoa lakini bado sijafanikisha kupata majibu ya mwaswali haya:
Naomba kusaidiwa kujua bei ya jumla ya kokoa kavu ya Tanzania? . Mkoa gani nitaipata? Na kuanzia kilo ngapi?
Kama una namba za simu za mkulima au muuzaji wa kakao kavu kwa bei ya jumla naomba pia.
Nafuatilia majibu.
Natanguliza shukurani zangu kwenu.
Huyu anautani? Anauliza kuanzia kg ngapi badra yakusema yeye anaitaji mzigo kiasi gani ,na anaweza kuanza na kg ngapi.Unauhakika umetafuta nyuzi zote hazijakupa majibu.
Anyway hilo zao lina limwa sana mbeya wilaya ya kyela na rugwe pia mkoa wa morogoro maeneo ya mbingu.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Unauhakika umetafuta nyuzi zote hazijakupa majibu.
Anyway hilo zao lina limwa sana mbeya wilaya ya kyela na rugwe pia mkoa wa morogoro maeneo ya mbingu.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile
Nina uhakika sio zote, ila nyingi nimezipitia.Unauhakika umetafuta nyuzi zote hazijakupa majibu.
Anyway hilo zao lina limwa sana mbeya wilaya ya kyela na rugwe pia mkoa wa morogoro maeneo ya mbingu.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Katika maduka mengi niliwahi kupitia hua wana kiwango chao cha mwanzo (MOQ), ndio nimeuliza huenda na wauzaji wa hio pia wana kiwango maalumu. Hio moq ndio itakayonifanya kujua nijiandae na mzigo wa kiasi ganiHuyu anautani? Anauliza kuanzia kg ngapi badra yakusema yeye anaitaji mzigo kiasi gani ,na anaweza kuanza na kg ngapi.
Sawa mkuu nimekuelewa .pamoja na ufafanuzi wako , wakulima tulio wengi tunapenda tuuze mavuno yetu yote hasa kwa mazao ya biashara.Katika maduka mengi niliwahi kupitia hua wana kiwango chao cha mwanzo (MOQ), ndio nimeuliza huenda na wauzaji wa hio pia wana kiwango maalumu. Hio moq ndio itakayonifanya kujua nijiandae na mzigo wa kiasi gani