Charminita
New Member
- Aug 2, 2022
- 4
- 1
Wana JF habarini za mda huu?
Nimepitia uzi nyingi kuhusu kakao au kokoa lakini bado sijafanikisha kupata majibu ya mwaswali haya:
Naomba kusaidiwa kujua bei ya jumla ya kokoa kavu ya Tanzania? . Mkoa gani nitaipata? Na kuanzia kilo ngapi?
Kama una namba za simu za mkulima au muuzaji wa kakao kavu kwa bei ya jumla naomba pia.
Nafuatilia majibu.
Natanguliza shukurani zangu kwenu.