Cacao/cocoa ya Tanzania

Cacao/cocoa ya Tanzania

Charminita

New Member
Joined
Aug 2, 2022
Posts
4
Reaction score
1
Wana JF habarini za mda huu?

Nimepitia uzi nyingi kuhusu kakao au kokoa lakini bado sijafanikisha kupata majibu ya mwaswali haya:

Naomba kusaidiwa kujua bei ya jumla ya kokoa kavu ya Tanzania? . Mkoa gani nitaipata? Na kuanzia kilo ngapi?

Kama una namba za simu za mkulima au muuzaji wa kakao kavu kwa bei ya jumla naomba pia.

Nafuatilia majibu.
Natanguliza shukurani zangu kwenu.
 
Mkoani mbeya ( kyela na rungwe) utapata za kutosha mkuu
 
Unauhakika umetafuta nyuzi zote hazijakupa majibu.

Anyway hilo zao lina limwa sana mbeya wilaya ya kyela na rugwe pia mkoa wa morogoro maeneo ya mbingu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Huyu anautani? Anauliza kuanzia kg ngapi badra yakusema yeye anaitaji mzigo kiasi gani ,na anaweza kuanza na kg ngapi.
 
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile

Unauhakika umetafuta nyuzi zote hazijakupa majibu.

Anyway hilo zao lina limwa sana mbeya wilaya ya kyela na rugwe pia mkoa wa morogoro maeneo ya mbingu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Nina uhakika sio zote, ila nyingi nimezipitia.
Asante kwa muongozo
 
Huyu anautani? Anauliza kuanzia kg ngapi badra yakusema yeye anaitaji mzigo kiasi gani ,na anaweza kuanza na kg ngapi.
Katika maduka mengi niliwahi kupitia hua wana kiwango chao cha mwanzo (MOQ), ndio nimeuliza huenda na wauzaji wa hio pia wana kiwango maalumu. Hio moq ndio itakayonifanya kujua nijiandae na mzigo wa kiasi gani
 
Sawa mkuu nimekuelewa .pamoja na ufafanuzi wako , wakulima tulio wengi tunapenda tuuze mavuno yetu yote hasa kwa mazao ya biashara.
Ushauli wangu, fanya tasamini ya uhitaji wako ,Kisha njoo hapa jukwaani .hii itakusaidia kukuunganisha na wadau hasa Hawa wakati .
 
Back
Top Bottom