Cadet za ubora wa juu zinazouzwa Tanzania zinatokea nchi gani?

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Habari za leo wakuu,

Natumai mnaendelea vizuri ndugu zangu.

Nahitaji kujua cadet (kadet) za ubora wa juu (high quality) zinazouzwa Tanzania zinatokea nchi gani?

Pia nahitaji kujua aina za cadet (kadet) zinauzwa Tanzania kwa sana.

Kadet za kuvutika (elastic) na zile ambazo sio za kuvutika (non elastic) zipi zinapendwa sana hapa Tanzania.

Ahsanteni

Karibuni kwa majibu ndugu zangu.
 
Kwa wauzaji wengi wa Tanzania, mizigo wanatoa China.

Huko China kuna classes, kuanzia za bei ndogo ambazo tunakuja kuuziwa elfu 17-20 hadi za bei kubwa, ambazo tunakuja uziwa elfu 40+.

Tanzania tunapenda vya bei ndogo. Za kuvutika bei ndogo. Zinapendwa.

Ila cardet kali zile nzito nzito mzee baba.
 
Bongo napata wapi hzo nzito kwa dar?
 
Kwa wauzaji wengi wa Tanzania, mizigo wanatoa China.

Huko China kuna classes, kuanzia za bei ndogo ambazo tunakuja kuuziwa elfu 17-20 hadi za bei kubwa, ambazo tunakuja uziwa elfu 40+.

Tanzania tunapenda vya bei ndogo. Za kuvutika bei ndogo. Zinapendwa.

Ila cardet kali zile nzito nzito mzee baba.
Mkuu nimekuelewa sana, unaoneka unauzoefu sana na hivi vitu
 
Ngoja aje Holy Man atupe machimbo.

Wengi siku hizi wameamua kununua mitumba tu maana hizi nyingine unadanganywa haipauki ila inapauka.

Mr Kadeti anakupa tips 10 za kufanya kadeti isipauke. Ova masherti ya mganga.

Au kama vipi amia staff-jeans.
Mkuu ( Splash huwa zipo nzuri pia na hata streetsoul sio wabaya sana na hawa jamaa woolworths ) 😀😀😀😀.. inabidi Alu ukimtoa tu umepele sehemu moja wapo hapo ang'ae ng'ari ng'ari nitakuwa mpambe wako nashika maji yako mkononi
 
Ngoja aje Holy Man atupe machimbo.

Wengi siku hizi wameamua kununua mitumba tu maana hizi nyingine unadanganywa haipauki ila inapauka.

Mr Kadeti anakupa tips 10 za kufanya kadeti isipauke. Ova masherti ya mganga.

Au kama vipi amia staff-jeans.
Kadeti za mtumba wanauza wap dar?
 
Back
Top Bottom