Cadet za ubora wa juu zinazouzwa Tanzania zinatokea nchi gani?

Cadet za ubora wa juu zinazouzwa Tanzania zinatokea nchi gani?

Mkuu ( Splash huwa zipo nzuri pia na hata streetsoul sio wabaya sana na hawa jamaa woolworths ) ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.. inabidi Alu ukimtoa tu umepele sehemu moja wapo hapo ang'ae ng'ari ng'ari nitakuwa mpambe wako nashika maji yako mkononi
Sasa kama Streetsouls mkanda (belt) wanauza 180,000 kadeti itakua bei gani?

Bora nikanunue Mr Kadeti 10 zipauke taratibu.
 
Sasa kama Streetsouls mkanda (belt) wanauza 180,000 kadeti itakua bei gani?

Bora nikanunue Mr Kadeti 10 zipauke taratibu.
Acha mambo yako mkuu, unatuangusha asee ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ™‚.. Kwa huo ubahili Alu kweli utamuweza
 
Nyingi nzuri zinatoka ulaya nchi kama UK, uturuki n.k
Hata china nao wanakupa kulingana na pesa yako,

Kuna kadeti mpaka za elf 12, mteja akihitaji hio mchane live asijekuoa lawama.
 
hiyo kampuni ipo nchi gani
kuna zinazotokea india hizo angalau bei yake sio mkasi 40k,ila kuna zinazotoka uturuki na marekani bei zake mkasi kidogo...ila pia mwaka juzi niliziona za china bei yao imepoa.....utaziona material yake kama turubai flan hata kwenye maji chumvi zinadumu....ni kali sana tembelea madukan ziulizie uzione ujiridhishe
 
Bongo napata wapi hzo nzito kwa dar?
Kuna dogo mmoja ana duka lake la nguo nilienda siku moja ni ka wambia hizi cardet zako za kuvutika mimi sitaki maana baada ya kufua mara moja tu huwa hazitamaniki!
.
Akaniambia bro hizo unazotaka wewe hapa hazipo na ukitaka nipe hela ntakuletea na bei yake ni ya juu kuliko hizi.

Nikamwachia laki 1 akaniletea 3 zile nzito kabisa hapa nataka nimbembeleze aniambie chimbo lake liko wapi.

Yani hizi cardet za elfu 15 ukiziangalia zinavutia sana ila nenda kavae ufue, utaona kila rangi.
Nyeupe, kujivu, njano zote zimechanganyikna humo.
 
Mkuu mimi nishachoka haya maduka ya bosi kalewa yanyopiga kelele road hamna kitu mcheki huyo jamaa.. nami nahtaji
 
Mkuu mimi nishachoka haya maduka ya bosi kalewa yanyopiga kelele road hamna kitu mcheki huyo jamaa.. nami nahtaji
Mimi wife wangu alinunuliaga 2 nzuri kweli, nikavaa akafua, aisee ilibidi niwe naendea nazo kwenye banda la kuku tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila zile nzito ngumu zipo lakini bei yake ni kuanzia elfu 35 chini ya hapo hupati kabisa.

Ngoja yule dogo ntamwendea alafu ntakupa mrejesho!
Kiukweli zile 3 alizoniuzia hazijawahi kubadirika rangi
 
Njoo karume tukupe za mtumba zilizonyooka dukan unabet unaweza nunua ya bei Kali lkn ukifua mara tatu tu nguo inatengeneza rangi tofaut
mkuu karume upande gani hapo kunakuwa na kadeti na jeans za kijanja quality? Ila hapo palivyo na purukushani ya wahuni siwatakwangua Rangi gari yangu!!!
 
sio bongo mkuu naulizia nchi zinakotokea hizo Cadet ili nizinunue huko

Nimekuelewa mkuu. Ila changamoto nyingine sasa ni kwamba wabongo wengi tumeshazoea mteremko cardet za 15 - 20 ukileta hizo jenuini ukaanza kuuza 50 zitanunuliwa kweli?
 
Back
Top Bottom