Yes mkuu,huu uchawi watu wengi hawajaufahamu.
Mtumbani kuna kadet nzuri sana lakini over size,watu wengi hawajui kwamba ile unaichukua kisha unaenda kwa fundi anaidizain fresh anaimodoa inanyooka fresh.
Mimi ninanunuaga kwa jamaa alfu 8 lakini jamaa anasubiri mpaka tarehe za miashahara ndo anazifungua kadet,mbali na tarehe hizo hafungui.
Wengi wakiona kadet oversize wanaacha,wajanga tunanunua kwa apfu 7 kisha kuounguza alfu 3 unakuwa umevaa kadet safi nzito kwa buku 10 tu maisha yanasonga.
Mimi nguo zangu nyingi mtumba tu