Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Bongo napata wapi hzo nzito kwa dar?Kwa wauzaji wengi wa Tanzania, mizigo wanatoa China.
Huko China kuna classes, kuanzia za bei ndogo ambazo tunakuja kuuziwa elfu 17-20 hadi za bei kubwa, ambazo tunakuja uziwa elfu 40+.
Tanzania tunapenda vya bei ndogo. Za kuvutika bei ndogo. Zinapendwa.
Ila cardet kali zile nzito nzito mzee baba.
Mkuu nimekuelewa sana, unaoneka unauzoefu sana na hivi vituKwa wauzaji wengi wa Tanzania, mizigo wanatoa China.
Huko China kuna classes, kuanzia za bei ndogo ambazo tunakuja kuuziwa elfu 17-20 hadi za bei kubwa, ambazo tunakuja uziwa elfu 40+.
Tanzania tunapenda vya bei ndogo. Za kuvutika bei ndogo. Zinapendwa.
Ila cardet kali zile nzito nzito mzee baba.
Ngoja aje Holy Man atupe machimbo.Bongo napata wapi hzo nzito kwa dar?
Mkuu ( Splash huwa zipo nzuri pia na hata streetsoul sio wabaya sana na hawa jamaa woolworths ) 😀😀😀😀.. inabidi Alu ukimtoa tu umepele sehemu moja wapo hapo ang'ae ng'ari ng'ari nitakuwa mpambe wako nashika maji yako mkononiNgoja aje Holy Man atupe machimbo.
Wengi siku hizi wameamua kununua mitumba tu maana hizi nyingine unadanganywa haipauki ila inapauka.
Mr Kadeti anakupa tips 10 za kufanya kadeti isipauke. Ova masherti ya mganga.
Au kama vipi amia staff-jeans.
Mkuu nahitaji kununua za jumla nje ya nchi, na ndio maana nahitaji kujua nchi wanazochukua hizi CADETNjoo karume tukupe za mtumba zilizonyooka dukan unabet unaweza nunua ya bei Kali lkn ukifua mara tatu tu nguo inatengeneza rangi tofaut
Ya mtumba iliosimama bei ganiNjoo karume tukupe za mtumba zilizonyooka dukan unabet unaweza nunua ya bei Kali lkn ukifua mara tatu tu nguo inatengeneza rangi tofaut
Kadeti mtumba wa ulaya husuusan UKMkuu nahitaji kununua za jumla nje ya nchi, na ndio maana nahitaji kujua nchi wanazochukua hizi CADET
35 hukosi lkn unapaswa kuwa makin kwenye kuchagua wengine huwa wanazigusaYa mtumba iliosimama bei gani
Kadeti za mtumba wanauza wap dar?Ngoja aje Holy Man atupe machimbo.
Wengi siku hizi wameamua kununua mitumba tu maana hizi nyingine unadanganywa haipauki ila inapauka.
Mr Kadeti anakupa tips 10 za kufanya kadeti isipauke. Ova masherti ya mganga.
Au kama vipi amia staff-jeans.
Una Duka wapi Kibosile?Mkuu nahitaji kununua za jumla nje ya nchi, na ndio maana nahitaji kujua nchi wanazochukua hizi CADET
mimi nataka zile originalKadeti za mtumba wanauza wap dar?
Bongo napata wapi hzo nzito kwa dar?
Sinauzwa kwenye pesa ngapi?Kariakoo sandaland ya Msimbazi