Kila mmoja ajivunie chake,wanaume 22/23 ndio hao hapo unawaona.Utopolo mngecheza super league tungepumua kwa tabu sana
Nusu fainali ni 8 kwa pande zote,hapo kuna timu 10 so 2 azikufika nusu fainali ila kuna vigezo vilivyofanya wakaingia hapo kutimiza idadi ya timu 10,marumo yuko hapo kwa kufika kwake nusu fainali,hapo hamna viti maalum km kule kwenye super league jombaRaja alifika nusu fainali msimu uliopita?
Hongereni Uto...mnastahili hiyo tuzo kabisa.Your nominees for Club of the Year (MEN) award are here!
#CAFAwards2023
============
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetangaza Timu za Taifa, Vilabu na Wachezaji wanaowania tuzo hizo mwaka 2023 ambapo Taifa Stars ya Tanzania itachuana na Timu za Taifa za Cape Verde, Gambia, Guinea Bissau, Equatorial Guinea, Mauritania, Morocco, Msumbiji, Namibia na Senegal.
Kwa upande wa Vilabu, Mabingwa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga Africans inashindana na CR Belouizdad, USM Alger, ASEC Mimosas, AL Ahly FC, Raja CA, Wyadad AC, Mamelodi Sundowns, Marumo Gallants, na ES Tunis.
Tuzo hizo zinazotarajiwa kufanyika Desemba 11, 2023 Nchini Morocco, zimeiacha nje ya kinyang'anyiro Klabu ya Simba kutoka Tanzania.
Tumejipanga vilivyo.. na nia yetu ni kufika mpka nusu!Baada ya kumaliza mkiani mwa kundi mtaiheshimu hiyo robo
Yanga ,Marumo Gaaxy 😁😁😁😁Club kubwa zinafanya makubwa wapi mikia fc!?
Hakuna viti maalum ila kuna timu 2 zimeingia kutimiza idadi ?Nusu fainali ni 8 kwa pande zote,hapo kuna timu 10 so 2 azikufika nusu fainali ila kuna vigezo vilivyofanya wakaingia hapo kutimiza idadi ya timu 10,marumo yuko hapo kwa kufika kwake nusu fainali,hapo hamna viti maalum km kule kwenye super league jomba
Usikimbie tu.Muda ni hakimu mzuri sana
Dada yangu ni weweMuulize hata dada ako atakwambia
Jamaa unahangaika sana wewe tatu fcUtopolo derby wameichukulia serious sanaView attachment 2800224
Tunashukuru mpaka wewe umekubali ila kilo wenzio hawatakiHongereni Uto...mnastahili hiyo tuzo kabisa.