CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Wana tamani kusema wao wakubwa ila kila wakimuona marumo hapo wanaishiwa nguvuNaunga mkono hoja.
Nadhani Utopolo nao wamekumbukwa kwenye super League yao.
Ila cha kushangaza hapo kuna timu moja imeshuka Daraja.
Poleni utopolo hakuna pa kukificha Marumo amewaharibia sana.
(Ametia doa kwenye nguo)
Wewe hata kwenye hio list umo?Nimeona kwenye list wamewekwa wa mwisho, na ndo itakavyokuwa hadi the end. Yaani Utopolo awe wa kwanza mbele ya USM Algiers aliyebeba CAFCC? Au mbele ya Mamelodi yenye ule moto mkali?
Au wanatafuta kununa kama Mbappe kwenye tuzo za Balloon D'or huku akijua record hazimbebi mbele ya Haarland na Messi?
Marumo kashafika nusu fainali ambayo wewe hujawahiWakubwa wenzenu akina Marumo [emoji23]
Basi mtoe Marumo ukae wewe hapo mwakaroboWana tamani kusema wao wakubwa ila kila wakimuona marumo hapo wanaishiwa nguvu
Bonanza.1993 ulikuwa hujazaliwa siwezi kukulaumu
Kombe gani?1993 ulikuwa hujazaliwa siwezi kukulaumu
Sina haja ya kujua, nna mambo mengi ya kufanya ukijua wewe inatoshaUnajua kwanini umewekwa wa mwisho kwenye hizo tuzo ?