CAF AWARDS 2023: Taifa Stars kuwania Tuzo ya Timu Bora ya Taifa, Yanga Klabu Bora ya Mwaka

CAF AWARDS 2023: Taifa Stars kuwania Tuzo ya Timu Bora ya Taifa, Yanga Klabu Bora ya Mwaka

Naunga mkono hoja.
Nadhani Utopolo nao wamekumbukwa kwenye super League yao.

Ila cha kushangaza hapo kuna timu moja imeshuka Daraja.

Poleni utopolo hakuna pa kukificha Marumo amewaharibia sana.
(Ametia doa kwenye nguo)
 
Wana tamani kusema wao wakubwa ila kila wakimuona marumo hapo wanaishiwa nguvu
 
"Hoooo tupo na wakubwa wenzetu huku........"

Haya wakubwa wenzenu tupo nao kwenye kinyang'anyiro cha tuzo za CAF.Nyie mnaojiita wakubwa mpo wapi hatuwaoni hapo.
Wakubwa wenzenu akina Marumo [emoji23]
 
: Shirikisho la Soka Barani Afrika limeitaja Klabu ya Yanga kuwania Tuzo ya Klabu Bora ya Mwaka kwa Wanaume Barani Afrika.

Yanga SC itachuana na Klabu za CR Belouizdad, USM Alger, Asec Mimosas, Al Ahly, Raja CA, Wydad AC, Mamelodi Sundowns, Marumo Gallants na ES Tunis katika kinyang'anyiro hicho.

#CAFAwards #TuzozaCAF2023 #AzamSportsUpdates
1698828624616.jpg
 
Nimeona kwenye list wamewekwa wa mwisho, na ndo itakavyokuwa hadi the end. Yaani Utopolo awe wa kwanza mbele ya USM Algiers aliyebeba CAFCC? Au mbele ya Mamelodi yenye ule moto mkali?

Au wanatafuta kununa kama Mbappe kwenye tuzo za Balloon D'or huku akijua record hazimbebi mbele ya Haarland na Messi?
Wewe hata kwenye hio list umo?
 
Back
Top Bottom