CAF AWARDS 2023: Taifa Stars kuwania Tuzo ya Timu Bora ya Taifa, Yanga Klabu Bora ya Mwaka

CAF AWARDS 2023: Taifa Stars kuwania Tuzo ya Timu Bora ya Taifa, Yanga Klabu Bora ya Mwaka

"Hoooo tupo na wakubwa wenzetu huku........"

Haya wakubwa wenzenu tupo nao kwenye kinyang'anyiro cha tuzo za CAF.Nyie mnaojiita wakubwa mpo wapi hatuwaoni hapo.
Mpo na Marumo wenzenu
 
Marumo is better than you ndio maana wapo hapo
Better than me kwenye category gani?

Timu zilizobora zilicheza AFL na FIFA ndio wanajua hili.

CAF waliangalia timu 8 bora wakaona Simba ipo, hao washuka daraja walifika nusu fainali kwasababu ya ubovu wa timu zilizokuwa zinashiriki.
 
Nimeona kwenye list wamewekwa wa mwisho, na ndo itakavyokuwa hadi the end. Yaani Utopolo awe wa kwanza mbele ya USM Algiers aliyebeba CAFCC? Au mbele ya Mamelodi yenye ule moto mkali?

Au wanatafuta kununa kama Mbappe kwenye tuzo za Balloon D'or huku akijua record hazimbebi mbele ya Haarland na Messi?
Wewe wangapi kwenye hiyo list?
 
Better than me kwenye category gani?

Timu zilizobora zilicheza AFL na FIFA ndio wanajua hili.

CAF waliangalia timu 8 bora wakaona Simba ipo, hao washuka daraja walifika nusu fainali kwasababu ya ubovu wa timu zilizokuwa zinashiriki.
Bishana na CAF sio mimi
 
Back
Top Bottom