ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Marumo is better than you ndio maana wapo hapoNa Marumo nao wanasema hivyo hivyo
kwanini al ahly na sio usm alger ambae alimtia kimoja?Al ahly
Kwani yana akili hayo?kwanini al ahly na sio usm alger ambae alimtia kimoja?
Mpo na Marumo wenzenu"Hoooo tupo na wakubwa wenzetu huku........"
Haya wakubwa wenzenu tupo nao kwenye kinyang'anyiro cha tuzo za CAF.Nyie mnaojiita wakubwa mpo wapi hatuwaoni hapo.
Tupo na wenzetu kina Raja Casablanca Esperence, Mamelodi sundowns, Marumo, Wydad na Al AhlyMpo na Marumo wenzenu
Hii sasa ndio maana halisi ya timu bora na kubwa,huu ndio ukubwa wenyewe sio zile porojo.Hapo ndo utaona timu ipi bora
Better than me kwenye category gani?Marumo is better than you ndio maana wapo hapo
Wewe wangapi kwenye hiyo list?Nimeona kwenye list wamewekwa wa mwisho, na ndo itakavyokuwa hadi the end. Yaani Utopolo awe wa kwanza mbele ya USM Algiers aliyebeba CAFCC? Au mbele ya Mamelodi yenye ule moto mkali?
Au wanatafuta kununa kama Mbappe kwenye tuzo za Balloon D'or huku akijua record hazimbebi mbele ya Haarland na Messi?
Turudi kwenye super cup ya mwaka 94 usijisaurishe Stella wenu alicheza na nani?Google ipo kwaajili yako mkuu
Bishana na CAF sio mimiBetter than me kwenye category gani?
Timu zilizobora zilicheza AFL na FIFA ndio wanajua hili.
CAF waliangalia timu 8 bora wakaona Simba ipo, hao washuka daraja walifika nusu fainali kwasababu ya ubovu wa timu zilizokuwa zinashiriki.
Teh teh teh hili neno nusu fainali linawaumiza sana.Marumo kashafika nusu fainali ambayo wewe hujawahi
Mashudu Abiola Cup,haya tuonyeshe Medali kwa sisi ambao hatukuwepo huo Mwaka.1993 ulikuwa hujazaliwa siwezi kukulaumu
Bingwa wa shirikisho amekutana na bingwa wa championleague na huyo wa shirikisho akamtia huyo wa championleague tena mbele ya kumpigia mpira mwingi hivi kwa akili yako nani ni bora?Subiri ujionee
Hawa ma mbwiga hayajui tofauti ya list na lineupWewe wangapi kwenye hiyo list?
Kwenye ushawishi wapi na kwa nani?Ni timu zenye ushawishi kuliko vyura wa jangwani