CAF AWARDS 2023: Taifa Stars kuwania Tuzo ya Timu Bora ya Taifa, Yanga Klabu Bora ya Mwaka

Kwa hiyo Al Ahly, Mamelod,Wydad,ES Tunis huwaoni au nao wadogo.

[emoji3][emoji3][emoji3]
Kuwepo kwa marumo hapo tayari ondoa neno wakubwa, hiyo ni tuzo tu ambayo haihusishi ukubwa wowote
 
Hebu tuondoe uzalendo na tuwe serious club bora Africa zinafahamika ni akina Al Ahly, Wydad, Mamelod hebu Uto tupisheni kwanza tupige kura kama inavyotakiwa.
 
Kuwepo kwa marumo hapo tayari ondoa neno wakubwa, hiyo ni tuzo tu ambayo haihusishi ukubwa wowote
So tunakubaliana Mamelod,Wydad, ES,Al Ahly ni timu ndogo.

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Pongezi kwa Young Africans kwa kuheshimisha Tanzania
 
Hebu tuondoe uzalendo na tuwe serious club bora Africa zinafahamika ni akina Al Ahly, Wydad, Mamelod hebu Uto tupisheni kwanza tupige kura kama inavyotakiwa.
Una kitu mkuu na nakuona mbali sana miaka ijayo
 
Hii tumestahili kutokana na mafanikio yetu, nyie ile superleague ilikuwa ni kama viti maalum
Mafanikio ya kutolewa mashindano ya wanaume hatua za awali na kuangukia viti maalum aka kombe la mbuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…