CAF AWARDS 2023: Taifa Stars kuwania Tuzo ya Timu Bora ya Taifa, Yanga Klabu Bora ya Mwaka

CAF AWARDS 2023: Taifa Stars kuwania Tuzo ya Timu Bora ya Taifa, Yanga Klabu Bora ya Mwaka

Kwa hiyo Al Ahly, Mamelod,Wydad,ES Tunis huwaoni au nao wadogo.

[emoji3][emoji3][emoji3]
Kuwepo kwa marumo hapo tayari ondoa neno wakubwa, hiyo ni tuzo tu ambayo haihusishi ukubwa wowote
 
Hebu tuondoe uzalendo na tuwe serious club bora Africa zinafahamika ni akina Al Ahly, Wydad, Mamelod hebu Uto tupisheni kwanza tupige kura kama inavyotakiwa.
 
Pongezi kwa Young Africans kwa kuheshimisha Tanzania
 
Hebu tuondoe uzalendo na tuwe serious club bora Africa zinafahamika ni akina Al Ahly, Wydad, Mamelod hebu Uto tupisheni kwanza tupige kura kama inavyotakiwa.
Una kitu mkuu na nakuona mbali sana miaka ijayo
 
Hii tumestahili kutokana na mafanikio yetu, nyie ile superleague ilikuwa ni kama viti maalum
Mafanikio ya kutolewa mashindano ya wanaume hatua za awali na kuangukia viti maalum aka kombe la mbuzi
 
Haijawekwa kwa mlengo wa ukubwa maana marumo na Yanga wasingewepo hapo ?
Hapo wameangalia walio ingia nusu ,sio akina Mwakarobo. Haya kuna nyingine hii hapa.... Diarra.
Screenshot_20231101_131538_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom