Team Mayelle tujuane
Sisi waarabu weusi tunamuombea mema mwarabu mwenzetu mayele aliye katika kund la watu weusiTeam Mayelle tujuane
Miguel cardoso ni noma#Ubuntu botho
hii game tunaimalizia sauzi,
Hawa mamelodi nimejaribu kuwafuatilia, nimegundua wao hawategemei sana home advantage, wamekuwa wazuri sana wanapocheza away.Mamelodi wana laana kutoka Tanzania
Lakin pia wana kocha mzurHawa mamelodi nimejaribu kuwafuatilia, nimegundua wao hawategemei sana home advantage, wamekuwa wazuri sana wanapocheza away.
Wana approach nzuri sana kwa game za away kuliko home.
Ngoja tuone na leo itakuwaje
Mamelod ✓ Simba X ubaya ubwelaPiga waarabu hao mwaka huu waondoke patupu ma.ma.e, huku simba bingwa kule masandawana bingwa
Yeah,yule Cardoso ni mtu na nusuLakin pia wana kocha mzur
NomaTimu za Rais na Makamu Rais wa CAF zinabeba ubingwa.Hah soka la Africa linashangaza.