Hawa mamelodi mara nyingi game za home matokeo yao ni ya kawaida sanaQuality siku zote haiongopi, Pyramid wamecheza mechi bila hofu na ubora umewalipa.
Nikweli ila pyramid wamecheza kama timu kubwa, Asilimia kubwa ya wachezaji wake wanafanya vitendo kwa utulivu mkubwa.Hawa mamelodi mara nyingi game za home matokeo yao ni ya kawaida sana