SahihiYule mjinga aliyekosa penati sudan ndio kawasababishia matatizo Raja[emoji28]
Yeah jamaa wanaukuta mgumu sana aiseeLicha ya kwamba Al Ahly anashambuliwa ila hii mechi sioni Raja Casablanca akitoboa
Huyo mwarab wa Misri akishinda anachukua ndooRaja sipendi ashinde, alijikuta anajua sana