CAF Champion league: Raja Casablanca Vs Al Ahly | Updates

CAF Champion league: Raja Casablanca Vs Al Ahly | Updates

Raja anashinda.
Dogo aliyekosa penalti...atasawazisha makosa yake
 
Raja wakisipoangalia hata bao la kufuta machozi hawawezi kupata
 
Kinachofurahisha wote waarabu hadi waamuzi hivyo wanajuana vizuri.

Shabiki wala si mchezaji wa 12 ni kujifariji tu.

Raja kutoboa ni muujiza.
 
Back
Top Bottom