CAF Champion league: Raja Casablanca Vs Al Ahly | Updates

CAF Champion league: Raja Casablanca Vs Al Ahly | Updates

Timu mbovu ndio maana zinatoka
Ulitaka ziende zote nane robo mzee kama ukiangalia game ya Dar ya Simba na Jana kule Morocco utagundua wanaume hawa wote bora kama unaangalia Raja na Al ahly unagundua kitu hapa
 
Kuna mchezaji wa raja amepewa kadi za njano mara 2 alafu refa kasahau kumpa red najamaa aliyepigwa kadi kauchuna tu....huyu refa kituko mpaka watangazaji wameshangaa
 
Back
Top Bottom