Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili huna wewe,
Raja Casablanca
Simba
Horoya
Vipers
Group la vibondee!
Mpira haupo hivo ndugu.... utashangaa sana wydad akimuokota huyi mamelodiBingwa wa ili kombe ni Mamelod, wengine wanakamilisha ratiba tu.
Yaani hawa Raja hakuna kitu
Kuna ka timu kalipigwa kama chapati na wa MoroccoTimu za Morocco ni vibonde, ni kelele za mashabiki ndizo zinawatia hofu wapinzani wao.