CAF Champions League: Al Ahly vs Yanga 20/04/16

uwezo na nafasi ipo kwa Yanga kufanya vizuri
 
Naangalia mpira kupitia ZBC hapa 1-1 dakika ya 72
 
Dida bado anatatizo la kutokea,na ndio lililofanya afungwe kizembe mara ya mwanzo.
Ila yanga wametulia saana,wamfungwa na akili imekuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…