barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Sikujua hili, ebu nijuze zaidi.Uzuri hata wakitolewa wanaenda 16 bora y confederation...
Nyie kalieni kufukuzana tu...
Nasikia leo mmefukuza Hassan Ramadhab Kessy...
Anaungana na Banda na Isihaka
Kessy kafukuzwa na Manji au?
Kuna tofauti kati ya kusimamishwa na kufukuzwa, kessy kasimamishwa, Isihaka yupo kikosini.