CAF Champions League: Al Ahly vs Yanga 20/04/16

CAF Champions League: Al Ahly vs Yanga 20/04/16

Niyonzima pasi zake zote anarudisha nyuma
 
Wamatopeni wanao?
Yaan mie na wadis wote, Tanzania bado sana labda Azam kidogo. Ukitaka kujua matope yapo wapi angalia hapa.
 

Attachments

  • 1461177657968.jpg
    1461177657968.jpg
    42.5 KB · Views: 30
Mpaka sasa wanaaga mashindano Yanga. No goal attempt kipindi cha kwanza licha ya kuwacontain al ahly.
Uzuri hata wakitolewa wanaenda 16 bora y confederation...

Nyie kalieni kufukuzana tu...

Nasikia leo mmefukuza Hassan Ramadhab Kessy...

Anaungana na Banda na Isihaka
 
Tatizo letu lile lile la kutocheza vichwa iwe kona ama cross.
 
Back
Top Bottom