CAF Champions League: Al Ahly vs Yanga 20/04/16

CAF Champions League: Al Ahly vs Yanga 20/04/16

nasikia mtangazaji anasema Yanga from Rwanda, Burundi, Zimbabwe, Togo and Niger
 
Hahahaha,yaani Yanga hhakunaa kabisaa,hapa ndio naona sasa jinsi Ligi yetu ilivyo.
Hawa jamaa na vita kwenye nchi zao na mchafuko ila bado sie kisiwa cha amani wanatuchapa
Hapa naona marejeo ni kwamba Dida aliokolea mpira kwa kuupeleka nyavuni alifikiria atautoa nje,ali Mark vibaya
 
Anatoka Amis Tambwe...Anaingia Malimi Busungu

Yanga wanakosa goli la wazi
 
Goli la wazi wanakosa Yanga na sasa wanachanua waarabu kasi yao imewaponza wamechoka na kupoteana
 
Back
Top Bottom