Hossam Ghally ndo kaanzisha vurugu mkuu...yanga nidhamu jamani...
Pagumu hapo ....!Penalt
Mnyama angekuwa anaipata Al Ahly kama hii, wangeshika adabu zaoHawa Al Ahly huyu kocha wao wamtimue tu
hajawasaidia
mpira wao wa pasi hauonekani
now mipira ya juu tu.....na fujo fujo..