CAF Champions League: Al Ahly vs Yanga 20/04/16

CAF Champions League: Al Ahly vs Yanga 20/04/16

shujaa wa leo atakua DIDA KAMA WATAKWENDA PENATI
 
Tanzania tujifunze lushangilia, sio mpaka mtu apigwe kanzu.
Waarab wakichukua mpira wao washabiki wao wanashangilia, wakiupata yanga wanazomea!
Tufanyage na sisi hivyo.
 
Bado tu waheshimiwa??? Mungu saidia Yanga wafute uteja kwa hawa mafarao
 
Rekodi ya mwaka huu inaweza kutubeba, yumkini Mungu yupo upande wetu na hawa waarabu wakawa ni jipu!
 
Back
Top Bottom