Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
Kama wakiongeza 30Minutes basi tunawapiga hawa jamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umenifurahisha sana mkuuMzee Akilimali kama namuona vile na Tasbih yake ni mwendo wa Fatihaaa
Kwel kaz anayoifanya dahshujaa wa leo atakua DIDA
Huu mchezo hauitaji hasiramaneno ya kike hayo.hao ni mabingwa wa kihistoria...wamechukua klab bingwa afrika mara8.klab bora ya karne africa.
na ni mzuri sana kwa penatiKwel kaz anayoifanya dah
Bado tu waheshimiwa??? Mungu saidia Yanga wafute uteja kwa hawa mafarao
Mpira bado haujaishaWe unaona kuna dalili za kupigwa 5??
Una maanisha simba aliyefungwa toto ....!???Mnyama angekuwa anaipata Al Ahly kama hii, wangeshika adabu zao