CAF Champions League: Al Ahly vs Yanga 20/04/16

CAF Champions League: Al Ahly vs Yanga 20/04/16

Kelvin Yondan anaingia...Anatoa Deus Kaseke

Dakika ya 85

Al Ahly 1-1 Yanga

Aggregate 2-2
 
Mzee Akilimali kama namuona vile na Tasbih yake ni mwendo wa Fatihaaa
 
Yanga wanaweza kuvunja uteja wa kukanyagwa na hawa waarabu au watakubali kuwa wateja daima?leo ndo leo.
 
Back
Top Bottom