Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Yanga baada ya kutolewa wanaenda 16 bora ya confederation cup...Sio mbaya sanaDah ....almost there....
Kwa mara ya kwanza nilikuwa naishabikia yanga bila kujijua, uzalendo ni shida!
Yanga wazembe sana, walianza kujilinda mno kusubiri matuta.
Wamejitahidi ila wameniudhi, waarab walikuwa wanafungika hawa! Tungetoa gundu maana ktk matuta kina kitu kiliniambia yanga angepita. Tooo bad, sekunde ya mwisho?? Dah!
Hivyo hivyo mpwaWangeshinda hawa!! Mmmh tungekoma
naam naam naam mambo ndo kama yalivyokuwa tena, yanga wa matopeni wakapumzke sasa ili kesho mtaani tuishi kwa amaniHeruaaaaaaa Heruaaa
Kumbe siku hizi mpira siyo dakika 90 tena? Hivi jamani mpaka dakika hizo Yanga tumeshindwa kupaki basi twende kwenye matuta? Mimi ndio maana sitaki kuwa mshabiki sana wa hii mipira inauma sana na afadhali sijaangalia mechi yenyewe.Game over...
Yanga tumejitahidi though
Dakika ya 96 Alhy wanapata goli la 2
[emoji12] [emoji12] [emoji38] [emoji38] [emoji87]Wakimataifa 2 - 1 Vyura FC
Wamekufa kiume - kauli hii mpaka lini? Anyway ,karibuni tena nyumbani kwenye mbereko za penati,kadi nyekundu za utatanishi..!!Mbereko huko hamna hivyo tutaendelea kufa kishujaa mpaka yesu arudi !Japo Yanga wamefungwa ila wamekufa kiume
Maneno ya mkosaji haya.teh teh teh...Wakichangani walitutabiria goli 4 au 5 furahieni nashangaa ya kwenu yamewashinda hata kibonde anaeshuka daraja coastal inawatoa jasho ?na kuwatoa kwenye mashindano bora yanga anaetolewa na timu za kimataifa kuliko nyie muwe na uzalendo jamani hata kidogo.