Camp Gilgal
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,453
- 4,592
Hahaha kwa Mazembe watakuwa wametuonea,tutagoma adi watupe ZANACOHatujatoka bali tumeshuka ngazi moja chini tunaingia mtoano mwingine ila cha ajabu utashangaa tena YANGA vsMAZEMBE
Jamaa walikuwa wamekata tamaa kabisa hasa baada ya goli kusawazishwa.Ila yanga tumecheza mpira waarabu wenyewe walishakata tamaa ila mnyonye mnyongeni haki yake mpeni yanga kapiga mpira
kwani wachezaji ndio walikuwa wanamgambo?Ligi yetu bado saaana,lazima tukubali
Tunacheza saana mpira wa magazetini,na mbwembwe nyingiii
Maana juzi tu iluwa Azam yawa Gumzo Tunis,hahaha,mara kocha wa Esperance atetemeka hatimae tukachapwa vitatu,sasa nani anatetemeka,leo hii yale yaleeee.
Ligi,Ligi ,Ligi,ligi yetu bado hovyooooooooo
Tunisia na Misri zote zilipitia kipindi cha machafuko,lakini bado wapo vizuri saana,sie wa amani bado hovyoooo
Acha anaejua Astahiki kuendelea mbele,Yanga karibuni sana Tanzania yenu ndio hiyo
Pole sanaWameshaniharibia usiku wangu!
Shukran kwako ndugu ndio mpira huo ila ahsante kwa kuwa mzalendo.Hongereni mmejitahidi. Poleni lakini kwa kipigo Na kutolewa
Mwarabu leo alikubali mzikiJamaa walikuwa wamekata tamaa kabisa hasa baada ya goli kusawazishwa.
Mnaiogopa mazembe?? Ya kawaida sana maana samatta hayupoHahaha kwa Mazembe watakuwa wametuonea,tutagoma adi watupe ZANACO
alikuwa YondaniWanastahili pongezi sana,Oscar ndo kaigharim timu kwa kusubiri mpira umfikie mguuni.Kwa mpira ule Simba tungepigwa 10 kwa kibuyu.
Aaah, timu zetu hzi aziaminiki sanaMnaiogopa mazembe?? Ya kawaida sana maana samatta hayupo
Hata sura zao zilionesha kabisa hofu ya kutolewa. Uzembe tu wa yanga....!!!!Mwarabu leo alikubali mziki
Nawalaumu sana yanga, hadi dakika ya 7o walikua wanatoa presure kubwa kwa waarabu na wangeweza kupata goli jingine badala yake timu nzima ikaridhika na kuanza kupoteza muda bila sababu na hii yote kipa wa yanga ndo alizidi kabisa unamuona anataka penalt tu.Mimi bado hainiingii kabisa akilini timu inacheza ugenini dakika zimeisha mnashindwa kupaki basi na mnaruhusu goli, kwakweli mimi ushabiki wa mpira siuwezi haya mambo yanaudhi. Penati huwa hazina mwenyewe tumepoteza nafasi adimu ya kuandika historia mpya leo.
Ndio ataongea zaidi mtamsikia.Bora wamepigwa maana yule muongea hovyo atapunguza