CAF Champions League: Al Ahly vs Yanga 20/04/16

CAF Champions League: Al Ahly vs Yanga 20/04/16

Ila yanga tumecheza mpira waarabu wenyewe walishakata tamaa ila mnyonye mnyongeni haki yake mpeni yanga kapiga mpira
Jamaa walikuwa wamekata tamaa kabisa hasa baada ya goli kusawazishwa.
 
Ligi yetu bado saaana,lazima tukubali
Tunacheza saana mpira wa magazetini,na mbwembwe nyingiii
Maana juzi tu iluwa Azam yawa Gumzo Tunis,hahaha,mara kocha wa Esperance atetemeka hatimae tukachapwa vitatu,sasa nani anatetemeka,leo hii yale yaleeee.
Ligi,Ligi ,Ligi,ligi yetu bado hovyooooooooo
Tunisia na Misri zote zilipitia kipindi cha machafuko,lakini bado wapo vizuri saana,sie wa amani bado hovyoooo
Acha anaejua Astahiki kuendelea mbele,Yanga karibuni sana Tanzania yenu ndio hiyo
kwani wachezaji ndio walikuwa wanamgambo?
 
yanga wametoka but wamejitahidi sana kuwakazia wale jamaa 2-1 c kazi ndogo,ngoja turudi bongo makokmbe yetu mawili yanatusubiri
 
Huwa sipotezi muda kuwashabikia wachezaji ambao hula maandazi na chai asubuhi, mchana wali maharagwe na jioni hivyo hivyo. Halafu mibange kwa sana.
Tuanzishe ligi ya majungu tutapata kombe la dunia.
 
Mimi bado hainiingii kabisa akilini timu inacheza ugenini dakika zimeisha mnashindwa kupaki basi na mnaruhusu goli, kwakweli mimi ushabiki wa mpira siuwezi haya mambo yanaudhi. Penati huwa hazina mwenyewe tumepoteza nafasi adimu ya kuandika historia mpya leo.
Nawalaumu sana yanga, hadi dakika ya 7o walikua wanatoa presure kubwa kwa waarabu na wangeweza kupata goli jingine badala yake timu nzima ikaridhika na kuanza kupoteza muda bila sababu na hii yote kipa wa yanga ndo alizidi kabisa unamuona anataka penalt tu.
 
1461183094790.jpg
 
Back
Top Bottom