Ni heri huyu jamaa angeendelea kukaa segerea
Umeongea Jambo la msingi sana. Kulikuwa Na tofauti kubwa sana Kati ya wachezaji wa yanga Na AL ahly linapokuja suala la kutumia nguvu. Wengi ya wachezaji wa yanga walikuwa wadhaifu....!!!Huwa sipotezi muda kuwashabikia wachezaji ambao hula maandazi na chai asubuhi, mchana wali maharagwe na jioni hivyo hivyo. Halafu mibange kwa sana.
Tuanzishe ligi ya majungu tutapata kombe la dunia.
Nashukuru kwa masahihisho...alikuwa Yondani
bado tuna mjukumu ya kimataifa mkuuyanga wametoka but wamejitahidi sana kuwakazia wale jamaa 2-1 c kazi ndogo,ngoja turudi bongo makokmbe yetu mawili yanatusubiri
hehehehe kila mtu anafata moyo wake unapopenda poleni ndugu zetu wajangwani,tatizo mimi halikuwa kwa yanga tatizo langu lilikuwa kwa msemaji wenu jerry muroNi heri huyu jamaa angeendelea kukaa segerea
bado tuna mjukumu ya kimataifa mkuu
Fair enough mkuu.hehehehe kila mtu anafata moyo wake unapopenda poleni ndugu zetu wajangwani,tatizo mimi halikuwa kwa yanga tatizo langu lilikuwa kwa msemaji wenu jerry muro
Wenzetu mchezaji anapewa kuku mzima wa kienyeji kwa kifungua kinywa. Lunch mbuzi mzima, jioni hivyo hivyo. Halafu tunataka kushinda.....!!Umeongea Jambo la msingi sana. Kulikuwa Na tofauti kubwa sana Kati ya wachezaji wa yanga Na AL ahly linapokuja suala la kutumia nguvu. Wengi ya wachezaji wa yanga walikuwa wadhaifu....!!!
Hahahaaah eti lunch mbuzi mzima....!!!!Wenzetu mchezaji anapewa kuku mzima wa kienyeji kwa kifungua kinywa. Lunch mbuzi mzima, jioni hivyo hivyo. Halafu tunataka kushinda.....!!
Nchi ya ajabu sana hii. Palestrina kila siku wako kwenye mapigano, halafu kisoka tumewazidi nafasi moja.Hahahaaah eti lunch mbuzi mzima....!!!!
Unaanza kulaumu viongozi wakati huohuo unashingalia timu ya nje iifunge timu ya ndani tena kwa furaha kabisa.Nchi kwanza haina ata viongozi wa soka hii
... maandalizi yenyewe eti wanafanyia pemba, tena maporini kule kwa waanga (bora ingekuwa hata chakechake)Wenzetu mchezaji anapewa kuku mzima wa kienyeji kwa kifungua kinywa. Lunch mbuzi mzima, jioni hivyo hivyo. Halafu tunataka kushinda.....!!
Dida si amesajiliwa kwa kazi hiyo? Ndo maana ni sehemu ya Yanga. Na ndo maana ya neno timu.Hivi umehesabu lakini alizosevu Dida wa bonde la jangwani fm?
Wamatopeni tunawafanyia mpango tuwapandishe kwenye Sayari ya Nibiru angalau mjisikie na nyie mmepanda ndege mwaka huu.... maandalizi yenyewe eti wanafanyia pemba, tena maporini kule kwa waanga (bora ingekuwa hata chakechake)
mkude kasema no ndege, no kusaini mkataba. matope yamemchoshaYa nini wakati siku zote nyie ni wasindikizaji? Hata muwe na Messi, jadi ni jadi tu. Mnawatia hasara kweli wadhamini wenu!