Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siyo mbaya sana...Timu ya Al Ahly ya Misri inawaalika Yanga ya Tanzania katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo kwenye mchezo wa kwanza uliofanyika Dar Es Salaam walitoka sare ya 1-1.
![]()
Yanga ili isonge mbele inahitaji ushindi wowote ule au sare ya 2-2 na kuendelea kinyume na hapo itayaaga mashindano hayo.
![]()
Mechi hii itaonyeshwa live na kituo cha Azam Tv kupitia chaneli yake ya ZBC two kuanzia saa 2:30 usiku kwa saa za hapa nyumbani.
Tukutane hapahapa kwenye ukumbi wetu wa JF tupeane updates kinachojiri kabla, wakati na baada ya mchezo.
===============================================================================
Updates:
Mpira ni mapumziko 0-0 bado milango ni migumu
Kipindi cha pili kimeanza
Dk 51' Hosam Ghaly anaipa Al Ahly goli la kuongoza.
Dk 55' Kipa wa Yanga Dida anaokoa shambulizi la nguvu lililofnywa na Al Ahly
Dk 60' Al Ahly bado anaongoza goli 1-0
Dk 65' Bado Yanga yupo nyuma kwa goli moja na anashambuliwa kunakotukuka.
Dk 66' Ngoma anaisawazishia Yanga goli, na matokeo ni 1-1
Dk 70' Matokeo bado ni 1-1
Dk 80' Al Ahly wanakosa goli baada ya Ghaly kuunganisha mpira wa kona na kupaisha kidogo
Mpira umesimama kwa muda kuna vurugu uwanjani baina ya wachezaji wa timu zote mbili
Dk 84' Yondani aningia badala ya Kaseke
Dk 87' Bado 1-1
Dk 88' Dida anafanya sevu ya nguvu na kuwaweka Yanga mchezoni
Dk 95' Yanga anafungwa goli la pili
Mpira Umeisha Yanga wametoka.
Al Ahly 2-1 Yanga ( 3-2 ) Aggregate
Eti wamekufa kiume!! Badala ya kujikaza kiume, wameamua kufa kiume.Waje kutuadithia kwenye ziara yao kitalii wamejifunza nini,eti wa kimataifa! Walifikiri na kule kuna mbeleko.
Maneno kuntuJamani....mimi kama shabiki wa kutupwa wa Yanga niliyetukuka nikikaa kimya kuhusu hili nitakuwa sijatenda haki kabisa.
Mpira jana nimeuangalia,na hakika vijana wetu walifanya poa sana.
Tatizo walianza kuzubaa kuanzia dakika ya 80 na nilimuambia mwenzangu niliyekuwa naangalia nae kwamba hapa tunafungwa.
Binafsi naona Yondani ndiye aliyetugharimu.
Utamlindaje mtu halafu ukae nyuma yake kwa angle ile kutoka kwa mwenye mpira?
Angekuwa sharp akawahi kukaa mbele ya yule jamaa aliyeunganisha krosi ile kwa kichwa huenda leo hii yangekuwa mengine.
Lakini,hakuna jinsi,yaliyotokea yametokea.
Niliumia sana kwa lile goli,niliwaza harakaharaka ni kitu gani ninachokipenda kinachoweza kunitolea stress nikatafuta Korean series moja kali sana (Birth of a beauty) imenifariji na nimeamka poa kabisa.
Pongezi za kipekee zimfikie kipa wetu Munish (Dida) kwa kazi nzito na iliyotukuka aliyoifanya jana.
Wanayanga wenzangu,tumeonesha kwamba mpira tunauweza,kama sio vijana kuchanganyikiwa kwa mashambulizi yale ya haraka.....ila ukweli wako vizuri sana.
Na yeyote atakayethubutu kutukejeli atakuwa mnafiki tu,moyoni atakiri Yanga ni habari nyingine.
Period
Washazoea kununua mabeki huko hakuna mabeki ka kessy.Waje kutuadithia kwenye ziara yao kitalii wamejifunza nini,eti wa kimataifa! Walifikiri na kule kuna mbeleko.
Mtalalama sana wanazi uchwara wa Simba; Yanga bado inasonga mbele kimataifa. Ninyi endeleeni kujifunza kuzomea badala ya kushangilia. Nawapongeza wanasimba wote walioweka kando unazi wao na kuishaingilia Yanga. Ng'wabheja sana!!!, murakoze chanee!!, wakora saana!!, thank you so muuuch!!Washazoea kununua mabeki huko hakuna mabeki ka kessy.
Yanga wamecheza mpira gani acha kuwapa ufagio .Mimi sina ushabiki na timu za hapa home ila kwa mpira walio ucheza yanga ni haki yao kujiita wakimataifa nadhani ingelikuwa simba au timu yoyote ya hapa home tungefungwa goli nyingi
Angalia post zangu za nyuma...mimi ni Simba damu ila wamenikera sana Simba.acha kupotosha wewe,jiulize mmeenda kucheza ama kuchezewa?
Sio kulalama kwani nani asiye jua mbinu zenu chafu katika soka.Mtalalama sana wanazi uchwara wa Simba; Yanga bado inasonga mbele kimataifa. Ninyi endeleeni kujifunza kuzomea badala ya kushangilia. Nawapongeza wanasimba wote walioweka kando unazi wao na kuishaingilia Yanga. Ng'wabheja sana!!!, murakoze chanee!!, wakora saana!!, thank you so muuuch!!
Safi kabisa mimi roho yangu kwetu tulienda kupambana na tumeonyesha hivyo mpira ni mchezo wa mambo sasa so wameitumia nafasi nasi pia ni changamoto kwetu msimu ujao tujipange zaidi.Jamani....mimi kama shabiki wa kutupwa wa Yanga niliyetukuka nikikaa kimya kuhusu hili nitakuwa sijatenda haki kabisa.
Mpira jana nimeuangalia,na hakika vijana wetu walifanya poa sana.
Tatizo walianza kuzubaa kuanzia dakika ya 80 na nilimuambia mwenzangu niliyekuwa naangalia nae kwamba hapa tunafungwa.
Binafsi naona Yondani ndiye aliyetugharimu.
Utamlindaje mtu halafu ukae nyuma yake kwa angle ile kutoka kwa mwenye mpira?
Angekuwa sharp akawahi kukaa mbele ya yule jamaa aliyeunganisha krosi ile kwa kichwa huenda leo hii yangekuwa mengine.
Lakini,hakuna jinsi,yaliyotokea yametokea.
Niliumia sana kwa lile goli,niliwaza harakaharaka ni kitu gani ninachokipenda kinachoweza kunitolea stress nikatafuta Korean series moja kali sana (Birth of a beauty) imenifariji na nimeamka poa kabisa.
Pongezi za kipekee zimfikie kipa wetu Munish (Dida) kwa kazi nzito na iliyotukuka aliyoifanya jana.
Wanayanga wenzangu,tumeonesha kwamba mpira tunauweza,kama sio vijana kuchanganyikiwa kwa mashambulizi yale ya haraka.....ila ukweli wako vizuri sana.
Na yeyote atakayethubutu kutukejeli atakuwa mnafiki tu,moyoni atakiri Yanga ni habari nyingine.
Period
halua halua heluaaaaaaa al abdallaaaaah al gamaaaaal al takbiiiir hahaaaaaa helua heluaaaaaJamani....mimi kama shabiki wa kutupwa wa Yanga niliyetukuka nikikaa kimya kuhusu hili nitakuwa sijatenda haki kabisa.
Mpira jana nimeuangalia,na hakika vijana wetu walifanya poa sana.
Tatizo walianza kuzubaa kuanzia dakika ya 80 na nilimuambia mwenzangu niliyekuwa naangalia nae kwamba hapa tunafungwa.
Binafsi naona Yondani ndiye aliyetugharimu.
Utamlindaje mtu halafu ukae nyuma yake kwa angle ile kutoka kwa mwenye mpira?
Angekuwa sharp akawahi kukaa mbele ya yule jamaa aliyeunganisha krosi ile kwa kichwa huenda leo hii yangekuwa mengine.
Lakini,hakuna jinsi,yaliyotokea yametokea.
Niliumia sana kwa lile goli,niliwaza harakaharaka ni kitu gani ninachokipenda kinachoweza kunitolea stress nikatafuta Korean series moja kali sana (Birth of a beauty) imenifariji na nimeamka poa kabisa.
Pongezi za kipekee zimfikie kipa wetu Munish (Dida) kwa kazi nzito na iliyotukuka aliyoifanya jana.
Wanayanga wenzangu,tumeonesha kwamba mpira tunauweza,kama sio vijana kuchanganyikiwa kwa mashambulizi yale ya haraka.....ila ukweli wako vizuri sana.
Na yeyote atakayethubutu kutukejeli atakuwa mnafiki tu,moyoni atakiri Yanga ni habari nyingine.
Period
Aaaaaahhhh vibaya hivyo sasa!halua halua heluaaaaaaa al abdallaaaaah al gamaaaaal al takbiiiir hahaaaaaa helua heluaaaaa
Haaah natumaini leo saa tisa mtapangiwa waarabu tena mcheze naoAaaaaahhhh vibaya hivyo sasa!
Mwenzio nishaanza kusahau unanikumbushia.
Jana yule mtangazaji nilitamani nimtafune!
oooh nimesahau mpendwaAsante ndugu,ila vibia mbalimbali na mimi mkuu.
Labda tukapate milkshake.
ooh kombe la shirikisho mkuubado tuna mjukumu ya kimataifa mkuu
Watupangie Esperance tuoneshe ubora wetu.Haaah natumaini leo saa tisa mtapangiwa waarabu tena mcheze nao