CAF Champions League: Al Ahly vs Yanga 20/04/16

Yanga ni Timu bora bado ndio maana bado IPO kwenye mashindano.Nyie mikia endeleeni kupiga makelele tu kama mijibwakoko
 
Mmesahau zile 9 bado mnawataka wa Moroco..

Caf club championship

1)Zesco(Zambia)
2)Zamalek(Egypt)
3)ES Setif( Algeria)
4)Waydad AC( Morocco)
5)Asec Mimosas(Ivory cost)
6)Al Ahly(Egypt)
7)Enyimba(Nigeria)
8)Vita Club(DRC)

Caf confederation cup

1)Esperence(Tunisia)
2)Merreick( Sudan)
3)FUS Rabat( Morocco)
4)TP Mazembe( DRC)
5)Sagrada Esperanca(Angola)
6)Stade Malien(Mali)
7)Mo Bejaia(Algeria)
8)Al Ahli Tripoli(Libya)
9)Stade Gabesien(Tunisia)
10)Medeama(Ghana)
11) Yanga(Tanzania)
12)Etoile du sahel (Tunisia)
13)Mounana(Gabon)
14)Makasa(Egypty)
15)Mamelodi sundown(South Africa)
16)Kawkab Marrakech(Morocco)

Ndondo cup:

1) Simba SC ( Msimbazi)
2) Nondo FC ( Mwananyamala)
3) Vigwaza FC ( Yombo)
4) Kipunguni SC ( Vingunguti)
5) Kiburugwa Combine ( Mbagala)
6) Kinyerezi FC ( Kinyerezi)
7) friends Ranger ( Manzese)
8) Wailesi FC ( Temeke)
9) Toto Africa (Mwanza)
10) Coast Union ( Tanga)

NB : Draw ya confederation cup 16 bora itafanyika kesho.
 
hadi Yondani anaingia ilikua ni kwa mantiki ya penati, timu nzima ilibweteka kwamba wanakwenda kwenye matuta na hata ukabaji ukawa kwa macho tu, Yondani alikua anaangalia move kwa macho kama ilivyokua kwa Msuva Juma Abdul na hata Bossou na wakati anastua kufika eneo la tukio ilikua too late laiti angalicheza na move angaliweza kufika mapema
 
mkude kasema no ndege, no kusaini mkataba. matope yamemchosha


Kwa akili yako, huyo Mkude kama ni wa maana kwako.....aikimbie Simba na kwenda Yanga ili tu apande ndege bila kupata ushindi wowote inamsaidia nini? Usindikizaji au kuwa teja kwa waarab ni kawaida ya Yanga, hata waue maalbino 20 huko Pemba jadi ni ile ile tu...mtapanda ndege mpaka matako yataota kutu ushindi ziro.
 
Jamani eeeh?Jana ni kura tu hazikutosha lakini game ilikuwa yetu kabisa.
Sasa kazi ndio imeanza upya,hao wa Angola wajuta maana hasira zote tutazimalizia kwao.
 
Jamani eeeh?Jana ni kura tu hazikutosha lakini game ilikuwa yetu kabisa.
Sasa kazi ndio imeanza upya,hao wa Angola wajuta maana hasira zote tutazimalizia kwao.
mtapigwa tu...
 
Hakuna cha Afadhali hapo.Kama kweli nyie ni wakimataifa,vunjeni rekodi za simba.Mwenzenu kaoga 3,leo mnabugia 4.Yanga kwa marefa wabovu wa tz.
zamalek na al ahly ni madaraja tofauti kabisa ni sawa na yanga au simba na azam. Al ahly ndio misri , Ina wapenzi wengi kuliko timu yoyote , viongozi WA kisiasa na kijeshi na matajiri wote misri ni al ahly. Timu ya taifa wachezaji karibu wote ni al ahly. Wachezaji wakubwa WA misri wote WA zamani ni al ahly
 
Jamani eeeh?Jana ni kura tu hazikutosha lakini game ilikuwa yetu kabisa.
Sasa kazi ndio imeanza upya,hao wa Angola wajuta maana hasira zote tutazimalizia kwao.
Tuko pamoja sana hao WaAngola kazi wanayo aisee
 
Mkuu kwa timu hizo zinazoshiriki ndondo cup wa matopeni haiwezi kufurukuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…