CAF Champions League: Al Ahly vs Yanga 20/04/16

Dk 36

Yanga wanapata kona ya kwanza na wanaitumia vibaya
 
Dk ya 37, milango migumu.
Ila dk 35 Dida kacheza moja ilikuwa inaenda nyavuni.
Crowd inawahamasisha sana Al Ahly, ni kelele nyingi.
 
bado bila kwa bila
Ila waarabu wanaona saana kwenye pasi za one touch,wanapiga pasi balaa,ila yanga pasi tatu basi wamepoteza
Inabidi watulie Saana,Niyonzima yupo vizuri sana jamaa
 
Yanga kama mmeanza kuwa na hofu namna hii,mkifungwa si watu watazirai kabisa! Tunataka kuona Ukimataifa kwenye hii mechi.Ila kama mtacheza kama sisi,hilo jina life kabisa.leo 4bila inawahusu.
Ukimataifa ni kucheza mechi za ukimataifa kama Leo..unataka uone ukimataifa Mara ngapi?..lakin sikushangai maana timu yako hata matopeni inavurunda
 
Yanga wanapoteza saana mipira,itawagharimu
Maana waarabu wanapumzi sana,akichoa Niyonzima pale kati basi yanga wamekwisha.
 
Hapana refa bado yupo vizuri saana.Tuache mambo ya kulalamika
Waarabu wanakaa na mpira kwa pasi za uhakika ile sie tunapoteza saana na marking yetu haipo vizuri
 
Eti tuache usimba na U yanga!Shame on you!
Yanga ingevaa jezi ya Taifa ningeishangilia .

Muro anavyoisema vibaya simba kama si mtanzania eti leo nijisahaulishe kama mtoto alafu nishangilie Kanda 2
 
Dk zimeongezwa 2 kipind cha kwanza yanga wamechezewa nusu uwanja
 
Yale ya AZam yatatimia muda sio mrefu,Yanga wameanza kuzuia tu sasa.
Hapo ndio waarabu hupenda kufanya yao,yanga wamezidiwa wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…