Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na simba nae kama Nani? Au mwanamke anaye gawa kwa kila mwanaume?Yanga ni kama bibi harusi ambaye mida hii anapambwa saloon...akimngoja mumewe mtarajiwa aje kumchukua
Ukimataifa ni kucheza mechi za ukimataifa kama Leo..unataka uone ukimataifa Mara ngapi?..lakin sikushangai maana timu yako hata matopeni inavurundaYanga kama mmeanza kuwa na hofu namna hii,mkifungwa si watu watazirai kabisa! Tunataka kuona Ukimataifa kwenye hii mechi.Ila kama mtacheza kama sisi,hilo jina life kabisa.leo 4bila inawahusu.
Acha uwongo, mechi iko kama 45/55 tu!Hawa jamaa Mbona wanaishambulia yanga mpaka aibu.....!??