CAF Champions League: Al Ahly vs Yanga 20/04/16

CAF Champions League: Al Ahly vs Yanga 20/04/16

Presha inapanda, presha inashuka, usingizi nao umekataaa, alooo sijui nikatupie viroba vya empire 6 akili ikae sawa?
 
Yanga piga hao waarabu utupe rahaaa watanzania wazalendo
 
Yanga wanafungwa, and thats it hakuna haja ya kujipa matumaini ambayo hayapo, maandalizi mabovu ligi mbovu ushindi hata siku moja hautatokea hewani...mpira wa tanzania ni wa kwenye tv na magazeti, mpira wa kufungana simba na yanga..hakuna kitu...we still have a very long way to go.

Mkuu una ashki majinun na waarabu sana wewe! Sii bure!
 
Ukitaka kuitazama mechi live ingia YouTube search ontv live stream mechi inaoneshwa. Sijui jinsi ya kuweka link
 
Jamani mpira umeanza ni ZBC2 kwa wale wateja wa azam
 
Back
Top Bottom