CAF Champions League: Al Ahly vs Yanga 20/04/16

CAF Champions League: Al Ahly vs Yanga 20/04/16

Mkuu acha tuhuzunike tu, kikosi chetu kipo dhoofu sana,Mkuu grafan njoo bana utie ubani kwa wanayanga, umepotea sana.
Huyu @grafan tangu litokee lile tukio la kupata ajali simba ukawa hajawani kutokea humu,.
Ila kama yupo hai ajitokeze basi tuendeleze UTANI WETU.
 
Ukiondoa tendo la ndoa,kingine nnachofurahia ni Yanga kufungwa
 
Yanga wapo vizuri tuache ushabiki wa kuponda chetu.
Huu usimba na uyanga ndio uliofanya wabongo wa DAR wavae jezi za TP Mazembe kwa kupewa elfu 5 ili kushangilia.Leo hawana hata moja.
 
Nimepata mahali hii link ya Youtube Live Stream, sijui itafaa?

 
Tp Mazembe wamefungishwa virago CAF CHAMPION LEAGUE na timu kutoka Morocco Wydad Casablanca.

Agregate Wydad 3-1 Tp Mazembe

Yanga tunaenda kumtoa Al ahly hakuna mfalme wa Soka milele.
Hata timu bora Brazil walikula 7-1 kutoka kwa German, ajabu nini Yanga kuibomoa Al ahly?????
 
Wakuu sie wenye vinga`muzi vya Azam tutaonaSasa muwasaidie wale ambao wenye sim tu ili waone kwenye mtandao,je link ipi itaonyeshaa kama jana walviyoweza kuona kwente wataniya 2.

 
Kila la kheri yanga funga hao waarabu 2-0 tuwakate vidomo domo fitnati wote
 
Yanga timu ya wananchi piga hao waarabu wa Misri ili mikia izidi kutimuana.
 
Back
Top Bottom