CAF Champions League: Al Ahly vs Yanga 20/04/16

Dk 45+2

Al Ahly 0 - 0 Yanga

Mpira ni HT
 
bado bila kwa bila
Ila waarabu wanaona saana kwenye pasi za one touch,wanapiga pasi balaa,ila yanga pasi tatu basi wamepoteza
Inabidi watulie Saana,Niyonzima yupo vizuri sana jamaa
Niyonzima angekuwa bora angeshachukuliwa nje ya nchi kama okwi, samatta. Angeenda hata bondeni maana exposure ya klabu bingwa kacheza cheza na yanga. Ni mzuri kwa viwango vya VPL.
 
Yanga kipindi cha pili ndo tutaiona kama ina eza pamabana
 
Wakimataifa wamefanikiwa kumaliza kipindi cha kwanza 0-0....
 
Haya! Je itakuwa kama Jana? Yetu macho na masikio.
 
YYaan kwa hali ya Yanga ni kama mgonjwa aliyepo ICU ambapo muda wowote tunaweza kusikia habari mbaya
 
Tatizo humo kwenye vyumba vya kubadili, Azam walikuwa 0-0 kutoka humo wakapigwa 3. Ila Yanga si wa juzi fitna zote wanajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…