Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niyonzima angekuwa bora angeshachukuliwa nje ya nchi kama okwi, samatta. Angeenda hata bondeni maana exposure ya klabu bingwa kacheza cheza na yanga. Ni mzuri kwa viwango vya VPL.bado bila kwa bila
Ila waarabu wanaona saana kwenye pasi za one touch,wanapiga pasi balaa,ila yanga pasi tatu basi wamepoteza
Inabidi watulie Saana,Niyonzima yupo vizuri sana jamaa

Simba ni mume wako aliyewahi kukupa mimba ya mapacha wa tano....mara hii umeshamsahau...??Na simba nae kama Nani? Au mwanamke anaye gawa kwa kila mwanaume?
Wakimataifa hawana hata uwanja.Wakimataifa wamefanikiwa kumaliza kipindi cha kwanza 0-0....
Ya kale hayanuki. Mtaishia kushangilia waarabu tuSimba ni mume wako aliyewahi kukupa mimba ya mapacha wa tano....mara hii umeshamsahau...??
Hata wewe mrembo kama ukinifurahisha nakushangilia tu....Ya kale hayanuki. Mtaishia kushangilia waarabu tu