CAF CHAMPIONS LEAGUE: Al Ahly, Zamalek ni anguko la wababe wa Misri au soka la Afrika limekua?

Kwa Zamalek sawa ila Al Ahly hawa jamaa hata wakimaliza wa pili kwenye kundi lao stage zinazofata watasumbua tu maana ni kawaida yao kabsa
 
Wababe wa Simba hao Galaxy naona wanateseka sana kwenye kundi lao.
 
Hata timu za Angola pia zime wekwa kundi moja hii kitu ni mbaya kwenye kupanga matokeo
Ni kweli, ila ni mbaya kama hizo timu zitatanguliza uzalendo wa taifa ila kama zitakuwa na hali ya uhasimu kama Simba na Yanga basi ni ngumu sana timu moja imuachie mwenzie ili ifuzu. Na upande wa Al Merreikh na Al Hilal wameshamalizana na mbaya zaidi wamegawana point tatu tatu bora point zote sita angechukua mmoja wapo
 
CAF samtaimz wanaboronga 😁
 
Back
Top Bottom