CAF CHAMPIONS LEAGUE: Al Ahly, Zamalek ni anguko la wababe wa Misri au soka la Afrika limekua?

Kwa Zamalek sawa ila Al Ahly hawa jamaa hata wakimaliza wa pili kwenye kundi lao stage zinazofata watasumbua tu maana ni kawaida yao kabsa
 
Simba Sc walifanya ujinga mkubwa sana.
Kosa la kutowafunga wale waduwanzi, inaweza ikaja kujirudia kwa kutikuwafunga wale us pale niger, ile game simba alipaswa kushinda hata kwa mtutu
 
Wababe wa Simba hao Galaxy naona wanateseka sana kwenye kundi lao.
 
Kama ulitazama game utaelewa jamaa bado wapo bora kwa kiasi gani.

Kupoteza game imekuwa matokeo tu. Lkn kiwango kipo juu mno. Mamelod imekuwa ni bahati tu kwao.
mamelod nae yuko vzr mno.mpinzani halisi wa al ahly
 
Hata timu za Angola pia zime wekwa kundi moja hii kitu ni mbaya kwenye kupanga matokeo
Ni kweli, ila ni mbaya kama hizo timu zitatanguliza uzalendo wa taifa ila kama zitakuwa na hali ya uhasimu kama Simba na Yanga basi ni ngumu sana timu moja imuachie mwenzie ili ifuzu. Na upande wa Al Merreikh na Al Hilal wameshamalizana na mbaya zaidi wamegawana point tatu tatu bora point zote sita angechukua mmoja wapo
 

CAF samtaimz wanaboronga 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…