BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Duh lkn they are back tena tuone safari hii. Halafu kuna Club Africain hawa ni wa Ivory Coast nao noma. Simba bado kumbukumbu ya Stela Abidjan itawatesa.
Tumepangwa na mashujaa fcKwani nyie vyura mmepangwa na nani?
Kundi moja na Libolo
Watajaribu kupambana na mwisho siku watabaki empty shell .Anasema Process Shivj hivo.Kila lakheri Simba sc naamini mtapambana kufa na kupona kulitetea taifa la Tanzania ambalo lipo nyuma yenu bila kujali itikadi za vyura wa pale bwawani
Umekuwa pundit?
wacha uboya dogoIle mechi na màshujaa mliendacheza kigomà
Hahahaaa. Nimecheka kama mjinga hapa baada ya kuona hii Post yako.
Anazungumzia Mashujaa ambayo ni njia ya kuelekea kuliwakilisha taifaVipi nkana.
Ndio na wewe si mnazi wao. Nimeshaona ulivyokuwa mdogo.
Mmmh. Wacha kujitoa bana.Daah Hali Ni mbaya kwa mnyama hao waarabu 2 na Vita ya DR Congo Ni mlima mrefu
Sent using Jamii Forums mobile app