CAF Champions league Draw: Simba SC yapangiwa kundi moja na Al Ahly SC ya Misri

CAF Champions league Draw: Simba SC yapangiwa kundi moja na Al Ahly SC ya Misri

Mungu ibariki WYDAD CASABLANCA, hili timu nalipenda sana. Naombea wabebe ndoo.


Wekundu poleni sana, mmepangiwa kundi la kifo....
 
Kundi A
Wydad Casablanca anapita

Kundi B
Esperance anapita

Kundi C
Tp Mazembe anapita

Kundi D
Al ahly anapita


Final...Wydad Casablanca <> Esperance

MAKOMANDOO WYDAD CASABLANCA Mabingwa 😍😍😍😍😍😍😀😀😀😀😀😀
 
kundi ni jepesi kinachotushinda sisi watanzania ni fitina nje na ndani ya uwanja sidhani kama kongo tp mazembe na vita club wachawiana mmoja ashindwe hasa wanapocheza na timu ngeni kama ilivyo simba na yanga
 
Gongowazii [emoji196][emoji196]
Screenshot_2018-12-29-07-30-30-345_com.instagram.android.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom