brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
- Thread starter
- #41
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haHawa lobi stars , horoya na Asec binafsi nawaona wakali sana. Wana chipukizi kutoka west aftica wana kiu na njaa ya mafanikio ya kucheza soka ulaya . Moto wao utaonekana
Mashujaa cha mtoto.
Aaah. Sawa.
[emoji44][emoji44]mbona unanijumuisha na Mimi?Aaah. Sawa.
Usisahau kuleta Updates za gurupu mtakalokuwa mmegurupiwa bila kusahau hao wanagurupu wenzenu.. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu naona kuna typing error bila shaka ulitaka kuandika Shoga badala ya Gasho?!Mbona unautoto sana we boya.Usikute nyumbani wanakuita baba alafu unaleta huu ufala wako.Unapaste hayo maneno yako kila page huku sisi tukihangaika kuslide ili iweje?.Gasho wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtapangwa kundi moja na Mashujaa
Azam ZBC 2 pia wako live , Mimi naangalia online kupitia CAFonline link yao