Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Natofautiana na ww apo kwa TP Mazembe, jamaa wataenda next round.
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea na updates mkuuDakika ya 25 Mamelodi Sundowns keshapigwa moja na Ahly, Aggregate ni tatu bila, nadhani hii shughuli imeshaisha kwa wazulu japokua mwaka jana walimpiga goli tano huyu mpinzani wao.
Kule Lubumbashi bado ni 0-0
Utabiri wa mtoa uzi unaweza ukatimia kama ulivyo.
Mazembe niliona wamepoteza muelekeo nilivyoona wapo kanisani wanasali eti washinde mechi habahaha upuuzi huo.Dakika ya 25 Mamelodi Sundowns keshapigwa moja na Ahly, Aggregate ni tatu bila, nadhani hii shughuli imeshaisha kwa wazulu japokua mwaka jana walimpiga goli tano huyu mpinzani wao.
Kule Lubumbashi bado ni 0-0
Utabiri wa mtoa uzi unaweza ukatimia kama ulivyo.
Mazembe niliona wamepoteza muelekeo nilivyoona wapo kanisani wanasali eti washinde mechi habahaha upuuzi huo.
Hili kombe limeshakuwa la waarabu tuu ..... Ngozi nyeusi hakuna hata timu moja
Nani alipiga hiyo penalty waliyokosa?Jamaa wamekosa penati muhimu sana ambayo ingewarudisha mchezo kwa kufanya mechi kuwa (2-2) on aggregate. Ila yote heri wameshinda moja bila lakini wametolewa.
Waarabu wanaendelea kutawal mpira barani Africa ni all arab semi final
Jackson MulekaNani alipiga hiyo penalty waliyokosa?
Jamaa wamekosa penati muhimu sana ambayo ingewarudisha mchezo kwa kufanya mechi kuwa (2-2) on aggregate. Ila yote heri wameshinda moja bila lakini wametolewa.
Kipute kimemalizika pia kati ya Wydad Casablanca na Etoile du Sahel. Etoile wameshinda moja bila lakini wametolewa kwa matokeo ya jumla (aggregate).
Nusu fainali ni kati ya Wydad dhidi ya Al Ahly na Zamalek dhidi ya Raja Casablanca.
Natabiri fainali ni kati ya Zamalek na Ahly na bingwa nampa Ahly.
Nilichojifunza ni kwamba hii ni ''ligi kuu ya waarabu wa Afrika''. Timu zetu akina sisi bado sana kufikia level za kutamba katika ligi hiyo