CAF champions league quarter final, today!

Abu Ubaidah Commando

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2016
Posts
7,591
Reaction score
6,946
Mamelody Sundowns <>Al ahly 16;00 (0-2)

Tp Mazembe <>Raja Casablanca 16;00 (0-2)

Etoile du Sahel <> WydadCasablanca 22;00 (0-2)

Utabili wangu👇🏿
Al Ahly ✔
Raja ✔
Wydad ✔

Tp Mazembe ✖
Mamelody ✖
Etoile du sahel ✖

Kila la heri nilizozipa ✔
 
Dakika ya 25 Mamelodi Sundowns keshapigwa moja na Ahly, Aggregate ni tatu bila, nadhani hii shughuli imeshaisha kwa wazulu japokua mwaka jana walimpiga goli tano huyu mpinzani wao.

Kule Lubumbashi bado ni 0-0

Utabiri wa mtoa uzi unaweza ukatimia kama ulivyo.
 
Mazembe niliona wamepoteza muelekeo nilivyoona wapo kanisani wanasali eti washinde mechi habahaha upuuzi huo.
 
Jamaa wamekosa penati muhimu sana ambayo ingewarudisha mchezo kwa kufanya mechi kuwa (2-2) on aggregate. Ila yote heri wameshinda moja bila lakini wametolewa.
 
Nani alipiga hiyo penalty waliyokosa?
 
Waarabu wanaendelea kutawal mpira barani Africa ni all arab semi final

Wale jamaa dua zao zimegonga mwamba
Screenshot_20200307-193646_Instagram.jpg
Screenshot_20200307-193925_Instagram.jpg

😁😁😁 wakati kule uarabuni ndio jua kali, joto balaa,,,joto na jua kwao ni Ac
 
Jamaa wamekosa penati muhimu sana ambayo ingewarudisha mchezo kwa kufanya mechi kuwa (2-2) on aggregate. Ila yote heri wameshinda moja bila lakini wametolewa.

Sio penalty tu.. kuna chance za wazi mazembe amekosa.. jackson muleka leo amewaangusha mazembe mara 3
 
Kipute kimemalizika pia kati ya Wydad Casablanca na Etoile du Sahel. Etoile wameshinda moja bila lakini wametolewa kwa matokeo ya jumla (aggregate).

Nusu fainali ni kati ya Wydad dhidi ya Al Ahly na Zamalek dhidi ya Raja Casablanca.
Natabiri fainali ni kati ya Zamalek na Ahly na bingwa nampa Ahly.

Nilichojifunza ni kwamba hii ni ''ligi kuu ya waarabu wa Afrika''. Timu zetu akina sisi bado sana kufikia level za kutamba katika ligi hiyo
 
Timu za waafrica weusi zinazoshindana na waarabu ni mbili tu.. mamelodi na mazembe.. sababu hizo timu zina hela pia.. ila kina sisi wengine wote tunasindikiza tu
 
Back
Top Bottom